Sunday 14 February 2010

Kiongozi wa kambi ya upizani AbuuBakari Khamis Bakar ambae ndie alipeleka mswaada wa maridhiano katika baraza la wawakilishi ambapo mswaada huo ulipelekea kubalishwa kwa vifungu mbali mbali vya sheria ikiwemo ni pamoja na makamo wa raisi kutoka katika majimbo ambayo yanaongozwa na wakilishi wengfi majimboni.

HUKUMU YA KUSHEREHEKEA VALENTINE DAY SIKU YA WAPENDANAO KILA MWAKA FEBUARY 14.




Valentine (Siku Ya Wapendanao) Na Hukumu Ya Kuisherehekea


http://www.alhidaaya.com/
BismiLLaah wa AlhamduliLLaah was-Swalaatu was Salaamu ‘alaa Muhammad wa ‘alaa ‘Aalihi wa Aswhaabihil Kiraam, wa Ba’ad,
Allaah سبحانه وتعالى Ametuchagulia dini ya Kiislamu ambayo ndio dini ya haki na Hatokubali dini yoyote nyingine kama Anavyosema:
((وَمَن يَبْتَغِ غَيْرَ الإِسْلاَمِ دِينًا فَلَن يُقْبَلَ مِنْهُ وَهُوَ فِي الآخِرَةِ مِنَ الْخَاسِرِينَ))
((Na anayetafuta dini isiyo kuwa Uislamu haitakubaliwa kwake. Naye Akhera atakuwa katika wenye kukhasirika)) [Al-'Imraan:85]
Na Mtume صلى الله عليه وآله وسلم ametuambia kuwa kutakua na makundi katika ummah wake ambao watawafuata maadui wa Allaah سبحانه وتعالى katika desturi na mila zao kama ifuatavyo:
((ستتبعون سنن من كان قبلكم شبراً بشبر وذراعاً بذراع حتى لو دخلوا جحر ضب لدخلتموه)) قالوا: أتراهم اليهود والنصارى؟ قال: ((فمن إذن؟)) البخاري ومسلم
((Mtafuata nyendo za wale waliokuja kabla yenu hatua kwa hatua mpaka itafika hadi wakiingia katika shimo la kenge, na nyinyi mtaingia pia)) Wakasema (Maswahaba): Ewe Mtume! Je, unamaanisha Mayahudi na Manaswara? Akasema: ((Hivyo nani basi mwengine?)) Al-Bukhariy na Muslim
Maneno hayo aliyoyasema Mtume صلى الله عليه وآله وسلم hakika yamesadikika kwani tunaona jinsi gani Waislamu siku hizi wanavyoigiza mila, desturi na tabia za makafiri na kuzisherehekea kama mfano siku hii inayoitwa 'Valentine day' (Siku ya Wapendanao).
Na baya zaidi na la kusikitisha sana ni kwamba sherehe hizi zinaenezwa katika njia mbali mbali za mawasiliano kama kutumiana kadi, barua pepe (e-mail), salamu katika simu za mkono. Hakika fitna hii humfanya Muislamu aharibu 'Aqiydah (Iymaan) yake kwa kudhani kuwa anafanya jambo la kawaida na hali ni jambo lisilo katika sheria ya dini yetu bali ni shirki kubwa na upotofu wa kufuata wanayoamini makafiri.


SIKU ya wapendanao huadhimishwa kila ifikapo tarehe 14 Februari ya kila mwaka.
Watu wengi wanaosherekea siku hii kwa Nchi za Afrika Mashariki ni vijana walio kati ya miaka 18 hadi 35.
Historia ya sikukuu hii inaanzia miaka mingi jijini, Roma, Italia ikiwa inahusishwa na mtakatifu Valentine au Valentinus aliyekuwa akiishi jijini humo katika karne hiyo.
Wakati wa maisha ya mtakatifu Valentine Roma ilikuwa ikitawaliwa na Kaisari, Claudius II, ambaye alipata hisia wakati huo kuwa askari mkakamavu na bora zaidi ni yule asiyekuwa na mke wala familia (kapera).
Claudius alilifanyia kazi wazo lake na aliamua kupiga marufuku ndoa zote kwa askari wa nchi hiyo, jambo ambalo halikukubaliwa na mtakatifu, Valentinus.
Hivyo Valentinus alichukua jukumu la kukaidi amri ile na kuendelea kuwafungisha ndoa kwa siri maaskari waliokuwa wakitaka kufungishwa ndoa.
Haikuchukua muda mrefu, taarifa zilimfikia mfalme, Claudius na alipopata habari hizo aliamuru kukamatwa na kufungwa gerezani na kisha Valentinus aliuawa kwa amri ya Kaisari.
Kuna taarifa zinadai kuwa kabla ya kuuawa kwa Valentine wakati huo akiwa amefungwa, mtakatifu Valentine aliandika barua ya salamu kwa binti aliyekuwa amekwenda kumsalimia gerezani.
Na mwisho wa barua kulisomeka maneno yaliyoandikwa ‘From your Valentine.’
Tangu hapo Valentine akawa anakumbukwa kama mtetezi wa wapendanao na siku hii ikawa inaadhimishwa duniani kote.
Baada ya kufariki kwa mtakatifu huyo ndipo wananchi wengi duniani wakaamua kuadhimisha siku hii kama sherehe ya kumkumbuka Mtakatifu Valentinus.
Namna sherehe hii inavyosherehekewa hivi sasa
Katika nyakati zetu hizi siku ya wapendanao au siku ya mtakatifu Valentine inayosherehekewa Februari 14 ya kila mwaka na watu wengi duniani, wakazi wa Nchi za Magharibi husherehekea siku hii kwa kutumiana kadi zenye maandishi ya Valentine, maua mekundu yanayoonyesha ishara ya mapendo.
Watu wengi wamekuwa wakiisherehekea kwa kula pamoja ikiwa ni pamoja na kutumiana kadi.
Mapambo ambayo yamekuwa yakitumika katika sherehe hizi ni yale yaliyotengenezwa katika umbo la moyo ikimaanisha mapendo ya kweli.
Maendeleo ya kutumiana kadi yalianza tangu karne ya 18, ikawa kama mtindo ulioonekana kupata umaarufu zaidi hadi ilipofikia karne ya 19 katika nchi za Uingereza.
Katika nchi ya Marekani na Amerika ya Kusini mtindo huu wa kutumiana kadi ulishika umaarufu kwenye karne ya 19 wakati huo ikifanywa kama moja ya sherehe kubwa nchini humo.
Wakati ukiingia Marekani wafanyabiashara wakubwa wa kadi katika nchi hiyo walifanikiwa kuuza zaidi ya kadi bilioni moja ndani na nje ya nchi hiyo, idadi iliyoikaribia ya uuzaji wa kadi za Siku kuu ya Krismasi.
Wengi wa watu ambao wamekuwa wakionekana kuisherehekea siku hii wamekuwa wakifikiria kuwa ni siku ambayo maalum ya uzinifu na kufanya uasherati, kumbe sivyo.
Nchi ya China, wananchi wake husherehekea siku hii kwa kupeana zawadi ya chokoleti, maua kwa wanawake ambao wanawapenda na wamekuwa wakiita kwa jina la pinyin.
Japan sikukuu hii inajulikana kama Tanabata, ambako wao huisherehekea Julai 7 kila mwaka.
Kwa upande wa nchi ya Saudi Arabia mwaka 2008, walichukua jukumu la kuchoma kadi zote za Valentine katika maduka yaliyoziingiza katika nchi hiyo, wakiwa wanashutumu kuwa siku hiyo ni maalumu kwa ajili ya Wakristo na si kwa Waislam.

Friday 12 February 2010

siku ya tano ya mafunzo.

Mafunzo ya siku tano nipata kujifunza mambo mengi yakiwemo kufungua blog na kuweza kupata njia nyengine mbadala ambayo itanisaidia kupata mawasiliano na wandishi wengine wa Zanzibar na nje ya Zanzibar.
Mafunzo hayo yataweza kunisaidia katika kazi zangu mbali mbali za habari.

ENEO LA FORODHANI.


Eneo la bandari ya Zanzibar maeneo ya Forodhani mjini Zanzibar.
Hayo ni mazingira ya bahari ya Zanzibar bahari yake yanavyovutia.
Hii ndio haiba ya bahari ambao kuna upepo mwanana wa bahari ambao unanukia marashia ya karafuu.
Hali hii huvutia wengi wanapopata fursa ya kutembelea Zanzibar ili kuona mazingira ya Zanzibar na utamaduni wa watu wake jinsi walivyowakarimu sana.
Ukitaka kuyajua yote hayo harakisha kupata fursa ya kuja Zanzibar ili uweze kuthibitisha hayo niliyokueleza.

Ilivyokua Zanzibar hali halisi ndio hiyo hapo.


Enzi za ukoloni jinsi watu walivyokuwa wakiteswa, hali ilikuwa ni kweli na sio ya kubuni.
Hivi ndivyo ilivyokuwa Zanzibar ya zamani na sio ya sasa.
Kila unaposikia Zanzibar jenga taswira kama hii ndivyo ilivyokuwa.
lakini sasa Zanzibar tumshukuru M/Mungu kwa utulivu na amani iliyopo nchini.
picha hii ni baadhi ya maeneo ya watumwa yaliyopo katika Kanisa la Mkunazini mjini Zanzibar.

BABU SEYA




ILE nyota iliyoanza kung'ara Desemba 3, mwaka jana wakati Makahama ya Rufaa iliposikiliza sababu 15 za rufaa ya Nguza Viking 'Babu Seya' na wanawe watatu, jana imepotea kabisa baada ya mahakama hiyo kuamuru mwanamuziki huyo na mwanae, Johnson Nguza (Papi Kocha) kuendelea kutumikia kifungo cha maisha.Mahakama hiyo pia imewaachia huru wanawe wawili, Nguza Mbangu na Francis Nguza ambao pamoja na Baba yao 'Babu Seya' walikuwa wakitumikia kifungo cha maisha jela, baada ya mwaka 2004 kukutwa na hatia ya makosa ya kudhalilisha watoto 10 wa kike wa shule ya msingi wenye umri kati ya miaka 6-10.Wakili wa warufani hao, Bw. Mabere Marando alisema hukumu hiyo ya jopo la majaji Salum Massati, Mbarouk S. Mbarouk na Nathalia Kimaro inafunga kabisa hatua mbadala wanayoweza kuchukua 'Babu Seya' na 'Papi Kocha' ili kuwa huru tena."Kesi ikishasikilizwa na jopo la majaji watatu ni sawa na 'Full Bench' hakuna refrence 'rejea' isipokuwa kama rufaa ingesikilizwa na jaji mmoja, ninasikitika kwa hilo, lakini nashukuru kwa kuwa jamii iko upande wetu, pengine iko siku nao watasamehewa na kuachiwa," alisema Bw. Marando.Hukumu hiyo ya rufaa ya jinai No. 56 ya mwaka 2009 ilizingatia utetezi uliotolewa na Bw. Marando kuwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu pamoja na Mahakama Kuu zilikiuka misingi ya sheria na kupuuza ushahidi wa wateja wake katika mashitaka hayo.Kwa kuzingatia utetezi huo, mahakama hiyo iliwafutia mashitaka 9 warufani wote, likiwemo kosa la kulawiti kwa pamoja, huku ikiwakuta na hatia ya kubaka na kubaka kwa pamoja, warufani wawili, Babu seya na Papi Kocha, hivyo kuamuru waendelee na adhabu ya awali iliyotolewa na mahakama za chini.Mahakama hiyo ilitaja sababu za kuwaachia huru Nguza Mbangu na Francis nguza kuwa ni kutokuwepo kwa ushahidi wa kutosha juu ya ushiriki wao katika udhalilishaji huo, na kuwa mahakama za chini hazikuzingatia utetezi wao kuwa hawakuwepo eneo la tukio siku iliyotajwa. Aidha mahakama hiyo iliukataa utetezi wa 'Babu Seya' kuwa mahakama za chini hazikuleta mashahidi walioshuhudia akifanya vitendo hivyo, na kuwa asingeweza kubaka watoto katika nyumba iliyokuwa na watu wengine muda wote ukitumika kama ukumbi wa mazoezi ya bendi yake ya Achigo.Mahakama ilisema kutokana na ushahidi wa watoto na wa mazingira ya eneo la tukio ni wazi kuwa 'Babu Seya' asingeshindwa kufanya udhalilishaji huo, na kuwa watoto wote 10 waliomtambua wasingeweza kuongopa kwa kuwa hawakuwa na sababu ya kufanya hivyo.Ushahidi wa 'Papi kocha' kuwa asingeweza kutenda vitendo hivyo kwa kuwa mara nyingi alikuwa safarini kwa ziara za kimuziki pia ulikataliwa na mahakama zote ikiwamo ya rufaa kwa sababu alikuwa akirejea nyumbani mara ziara hizo zinapolizika."Mahakama haipingi kuwepo kwa ushahidi wa safari za muziki na kuwa mrufani wa pili alikuwa akienda mazoezini, lakini hiyo hamaanishi kuwa alikuwa harudi na kukaa nyumbani, wakati alipokuwepo nyumbani asingeshindwa kufanya hivyo," ilidai sehemu ya hukumu hiyo.Kabla ya hukumu hiyo wanamuziki hao na umma wa Watanzania ulikuwa na matumaini mamkubwa ya kuachiwa huru kwa warufani hao kutokana na hoja za utetezi kushindwa kujibiwa na upande wa mashtaka katika usikilizwaji wa rufaa hiyo.Miongoni mwa hoja hizo ni pamoja na ile ya mrufani wa kwanza 'Babu Seya' kuiomba mahakama kumpima ugonjwa wa zinaa waliokutwa nao baadhi ya watoto, ambayo ingethibitisha iwapo waliingiliwa naye au na mtu mwingine, jambo ambalo halikufayika.Baada ya hukumu hiyo baadhi ya wanasheria na wananchi hawakusita kuonesha kutoridhishwa kwao, kwa madai kuwa upande wa mashtaka haukuweza kuthibitisha pasipo shaka kuwa warufani ndio hasa walio wadhalilisha watoto hao 10 wa darasa la kwanza shule ya Msingi Mashujaa, Sinza Dar es Salaam.Aidha wameiomba serikali kuwasaidia vijana walioachiwa, hasa katika suala la elimu ambapo iliwalazimu kuacha shule baada ya kuhukumiwa kifungo cha maisha, kwa kile walichodai walisababishiwa usumbufu na mateso wakati hawakuwa na hatia kama ilivyothibitishwa jana.

OBAMA


Barack Hussein Obama amezaliwa August 4, 1961) na sasa i raisi wa President of the United States. Ni muafrika wa kwanza kupata nafasi ya kuwa raisi katika bara la Uropean.
Obama amekuwa raisi kuanzia Novemb 2008 ambapo alikuwa ni miongoni mwa wajumbe wa Senet kuanzia January mwaka 2005. Obama alipata elimu yake katika vyuo mbali mbali kikiwemo Columbia University na Harvard Law School,na alirejea katika Harvard Law Review. Pia ameweza kuwa kiunganishi wa jamii katika maeneo ya Chicago kabla ya kusoma degree ya law. Obama amefanya kazi a civil rights in Chicago na kugusia sheria serikali au taasisi katika chuo cha University of Chicago Law School kuanzia mwaka 1992 hadi 2004.
Obama ameweza kuingia katika bunge la SENETE mara tatu kuanzia 1996 hadi 2004.
Following an unsuccessful bid for a seat in the U.S. House of Representatives in 2000, he ran for United States Senate in 2004. Several events brought him to national attention during the campaign, including his victory in the March 2004 Democratic primary election for the United States Senator from Illinois and his prime-time televised keynote address at the Democratic National Convention in July 2004. He won election to the U.S. Senate in November 2004.
Obama's presidential campaign began in February 2007, and after a close campaign in the 2008 Democratic Party presidential primaries against Hillary Rodham Clinton, he won his party's nomination. In the 2008 general election, he defeated Republican nominee John McCain and was inaugurated as president on January 20, 2009. Obama is also the 2009 Nobel Peace

Thursday 11 February 2010

ALAND ISLANDS


The Åland Islands occupy a position of great strategic importance, as they command one of the entrances to the port of Stockholm, as well as the approaches to the Gulf of Bothnia, in addition to being situated near the Gulf of Finland.

The Åland archipelago consists of nearly three hundred habitable islands, of which about eighty are inhabited; the remainder are merely some 6,000 skerries and desolate rocks. The archipelago is connected to Åboland archipelago in the east (Finnish: Turunmaan saaristo, Swedish: Åbolands skärgård) — the archipelago adjacent to the southwest coast of Finland. Together they form the Archipelago Sea. To West from Åland is Sea of Åland and to North the Bothnian Sea.

The surface of the islands is generally rocky and the soil thin. There are several excellent harbours.

The islands' landmass occupies a total area of 1512 square kilometres (584 sq mi). Ninety per cent of the population live on Fasta Åland (the Main Island), which is also the site of the capital town of Mariehamn. Fasta Åland is the largest island in the archipelago, extending over 1,010 square kilometres, more than 70% of the province's land area. It measures approximately 50 kilometres (31 mi) from north to south and 45 kilometres (28 mi) from east to west.

JERRY MURO


JERRY MURO NI MWANDISHI WA HABARI WA ZAMANI KIDOGO AMBAE KWANZA ALIFANTIA KAZI KATIKA KITUO CHA TELEVISION CHA ITV NA HADI SASA ANAFANYIA KAZI KATIKA KITUO CHA TELEVISION CHA TBC. AMBAPO SASA ANAKABILIWA NA TUHUMA YA UTAPELI NA KESI IKO MAHAKAMANI LAKINI YUKO NJE KWA DHAMANA.

HALI YA SASA YA JERI MURO NI HII:-
Mwanahabari wa Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC1), Jerry Muro, na wenzake wawili, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, na kusomewa mashtaka ya kuomba rushwa ya sh milioni 10 kutoka kwa Michael Wage Karoli ambaye alikuwa Mhasibu wa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

Mbali na mwanahabari huyo anayetetewa na wakili wa kujitegemea, Pascal Kamala, washtakiwa wengine ni Edmund Kapama na Deogratius Mgasa.

Huku wakishuhudiwa na umati wa watu, washtakiwa hao walifikishwa mahakamani hapo majira ya saa sita mchana wakiwa chini ya ulinzi mkali wa polisi waliotanda pande zote za mahakama hiyo.

Mbele ya Hakimu Mkazi, Gabriel Milumbe, Wakili Kiongozi wa Serikali, Stanslaus Boniface, akisaidiana na Wakili Kiongozi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Ben Lincoln, walidai kuwa kesi hiyo ina mashtaka matatu.

Katika mashtaka hayo, Murro, ambaye kwa wiki nzima sasa ameibua mjadala mzito, anakabiliwa na mashtaka mawili wakati wengine wanakabiliwa na mashtaka yote matatu.

Wakili Boniface alidai kuwa shtaka la kwanza ni la kula njama kwa mujibu wa kifungu cha 32 cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ya mwaka 2007.

Alidai kuwa mnamo Januari mwaka huu, jijini Dar es Salaam, washtakiwa wote kwa pamoja, walikula njama kwa nia ya kutenda kosa linalohusiana na rushwa kinyume na kifungu cha 15(1)(a) cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ya mwaka 2007.

Abdulrazak Gurnah


Abdulrazak Gurnah ni Mzanzibar aliyezaliwa katika visiwa hivi.
Abdulrazak Gurnah amezaliwa mwaka 1948.
Alikwenda Uwengereza kwa lengo la kujiendeleza zaidi.
Aliondoka Zanzibar akiwa na miaka 17 mwaka 1965.

SAUTI YA BUSARA


THUERSDAY 11/2/2010.
Sauti za busara (festival)ni tamasha la saba tangu kunziashwa hapa katika visiwa vya Zanzibar ambapo wananchi wa visiwa hivyo na visiwa vyengine hupata fursa ya kuona mambo tofauti ikiwemo wanamuziki wa ndani ya nchi na nje ya nchi.

Hali hiyo imepelekea wakaazi wengi wa wazanzibar kuifahamu siku hizo ambapo matayarishi yake huanzia February 12 kila mwaka.

Pamoja na wanamuziki kutoka Nchi mbali mbali kupata fursa ya kutembelea visiwa vya Zanzibar, katika shamra shamra hizo maonesho mengi huonekana vikiwemo vya asili vya Zanzibar na Nje ya Zanzibar.

tamasha hilo hudumu kwa siku tano mfululizo ambapo huadhimishwa katika maeneo ya mji mkongwe Zanzibar.

WANGARI MATHAI


The green belt movement imeanzishwa na profesa Wagari Mathai ambaye ni mwanamke wa mwanzo wa Afrika kushinda tunzo ya Nobel.
Profesa Maathai alimaliza masomo yake ya udaktari huko nchini Ujerumani, ambapo alitunukiwa PhD. Mwanamama huyu alifanikiwa kuwa mwanamke wa kwanza kushika nyadhifa mbalimbali katika bara la afrika, ikiwemo ya mwenyekiti wa idara ya Veterinary Anatomy and an associate professor mwaka 1976 na 1977.
Wangari Muta Maathai alizaliwa mwaka 1940 huko Nyeri nchini Kenya, ambapo amepitia harakati mbalimbali mpaka hapa alipo hivi sasa.

Monday 8 February 2010

wakati ndio huu

Siku ya pili tangu jana ambapo kila mmpja amepatiwa fursa ya kufungua blio yake mwenye.hali imetusaidia kuweza kuchati na watu tofauti ambao wako mbali na Zanzibar.