Thursday 11 February 2010

SAUTI YA BUSARA


THUERSDAY 11/2/2010.
Sauti za busara (festival)ni tamasha la saba tangu kunziashwa hapa katika visiwa vya Zanzibar ambapo wananchi wa visiwa hivyo na visiwa vyengine hupata fursa ya kuona mambo tofauti ikiwemo wanamuziki wa ndani ya nchi na nje ya nchi.

Hali hiyo imepelekea wakaazi wengi wa wazanzibar kuifahamu siku hizo ambapo matayarishi yake huanzia February 12 kila mwaka.

Pamoja na wanamuziki kutoka Nchi mbali mbali kupata fursa ya kutembelea visiwa vya Zanzibar, katika shamra shamra hizo maonesho mengi huonekana vikiwemo vya asili vya Zanzibar na Nje ya Zanzibar.

tamasha hilo hudumu kwa siku tano mfululizo ambapo huadhimishwa katika maeneo ya mji mkongwe Zanzibar.

No comments:

Post a Comment