Thursday, 11 February 2010
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Wandishi wa habari bado wanaendelea kupata msasa wa jinsi ya kutumia internet katika nyanja zote zinazotumika ulimwenguni.Ili kuweza kuwa wandishi bopra katika ulimwengu huu wa sayansi na technologia ambapo itasaidia kwenda sambamba na mabadiliko ya ulimwenguni kote. hali itawezaa kuongeza ujuzi katika kazi zao pale wanapohitaji kufanya mrejesho katika matukio mbali mbali yanayotokea duniani.
No comments:
Post a Comment