Thursday 11 February 2010

WANGARI MATHAI


The green belt movement imeanzishwa na profesa Wagari Mathai ambaye ni mwanamke wa mwanzo wa Afrika kushinda tunzo ya Nobel.
Profesa Maathai alimaliza masomo yake ya udaktari huko nchini Ujerumani, ambapo alitunukiwa PhD. Mwanamama huyu alifanikiwa kuwa mwanamke wa kwanza kushika nyadhifa mbalimbali katika bara la afrika, ikiwemo ya mwenyekiti wa idara ya Veterinary Anatomy and an associate professor mwaka 1976 na 1977.
Wangari Muta Maathai alizaliwa mwaka 1940 huko Nyeri nchini Kenya, ambapo amepitia harakati mbalimbali mpaka hapa alipo hivi sasa.

No comments:

Post a Comment